Surat At-Tur الطور

Tafsiri: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani

بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ

وَٱلطُّورِ ١

Wat-tūr

Naapa kwa mlima wa T'ur! 1

وَكِتَٰبٖ مَّسۡطُورٖ ٢

Wakitābim mastūr

Na Kitabu kilicho andikwa . 2

فِي رَقّٖ مَّنشُورٖ ٣

Fī raqqim manshūr

Katika ngozi iliyo kunjuliwa! 3

وَٱلۡبَيۡتِ ٱلۡمَعۡمُورِ ٤

Wal-baytil-ma'mūr

Na kwa Nyumba iliyo jengwa! 4

وَٱلسَّقۡفِ ٱلۡمَرۡفُوعِ ٥

Was-saqfil-marfū'

Na kwa dari iliyo nyanyuliwa! 5

وَٱلۡبَحۡرِ ٱلۡمَسۡجُورِ ٦

Wal-bahril-masjūr

Na kwa bahari iliyo jazwa! 6

إِنَّ عَذَابَ رَبِّكَ لَوَٰقِعٞ ٧

Inna 'adhāba rabbika lawāqi'

Hakika adhabu ya Mola wako Mlezi hapana shaka itatokea. 7

مَّا لَهُۥ مِن دَافِعٖ ٨

Mmā lahū min dāfi'

Hapana wa kuizuia. 8

يَوۡمَ تَمُورُ ٱلسَّمَآءُ مَوۡرٗا ٩

Yawma tamūrus-samā'u mawrā

Siku zitakapo tikisika mbingu kwa mtikiso! 9

وَتَسِيرُ ٱلۡجِبَالُ سَيۡرٗا ١٠

Watasīrul-jibālu sayrā

Na milima iwe inakwenda kwa mwendo mkubwa. 10

فَوَيۡلٞ يَوۡمَئِذٖ لِّلۡمُكَذِّبِينَ ١١

Fawaylun yawma'idhil lil-mukaddhibīn

Basi ole wao siku hiyo hao wanao kadhibisha, 11

ٱلَّذِينَ هُمۡ فِي خَوۡضٖ يَلۡعَبُونَ ١٢

Alladhīna hum fī khawdin yal'abūn

Ambao wanacheza katika mambo ya upuuzi. 12

يَوۡمَ يُدَعُّونَ إِلَىٰ نَارِ جَهَنَّمَ دَعًّا ١٣

Yawma yuda''ūna ilā nāri jahannama da''ā

Siku watapo sukumwa kwenye Moto kwa msukumo wa nguvu, 13

هَٰذِهِ ٱلنَّارُ ٱلَّتِي كُنتُم بِهَا تُكَذِّبُونَ ١٤

Hādhihin-nārul-latī kuntum bihā tukaddhibūn

(Waambiwe): Huu ndio ule Moto mlio kuwa mkiukanusha! 14

أَفَسِحۡرٌ هَٰذَآ أَمۡ أَنتُمۡ لَا تُبۡصِرُونَ ١٥

Afasihrun hādhā am antum lā tubsirūn

Je! Huu ni uchawi, au hamwoni tu? 15

ٱصۡلَوۡهَا فَٱصۡبِرُوٓاْ أَوۡ لَا تَصۡبِرُواْ سَوَآءٌ عَلَيۡكُمۡۖ إِنَّمَا تُجۡزَوۡنَ مَا كُنتُمۡ تَعۡمَلُونَ ١٦

Islawhā fasbirū aw lā tasbirū sawā'un 'alaykum innamā tujzawna mā kuntum ta'malūn

Uingieni, mkistahamili au msistahamili - ni mamoja kwenu. Hakika mnalipwa kwa mliyo kuwa mkiyatenda. 16

إِنَّ ٱلۡمُتَّقِينَ فِي جَنَّٰتٖ وَنَعِيمٖ ١٧

Innal-muttaqīna fī jannātin wana'īm

Hakika wachamngu watakuwa katika Mabustani na neema, 17

فَٰكِهِينَ بِمَآ ءَاتَىٰهُمۡ رَبُّهُمۡ وَوَقَىٰهُمۡ رَبُّهُمۡ عَذَابَ ٱلۡجَحِيمِ ١٨

Fākihīna bimā ātāhum rabbuhum wawaqāhum rabbuhum 'adhābal-jahīm

Wakifurahi kwa yale aliyo wapa Mola wao Mlezi. Na Mola wao Mlezi atawalinda na adhabu ya Motoni. 18

كُلُواْ وَٱشۡرَبُواْ هَنِيٓـَٔۢا بِمَا كُنتُمۡ تَعۡمَلُونَ ١٩

Kulū washrabū hanī'ā bimā kuntum ta'malūn

Kuleni na kunyweni kwa raha kabisa kwa sababu ya mliyo kuwa mkiyatenda. 19

مُتَّكِـِٔينَ عَلَىٰ سُرُرٖ مَّصۡفُوفَةٖۖ وَزَوَّجۡنَٰهُم بِحُورٍ عِينٖ ٢٠

Muttaki'īna 'alā sururim masfūfatin wazawwajnāhum bihūrin 'īn

Watakuwa wameegemea juu ya viti vya enzi vilivyo pangwa kwa safu. Na tutawaoza mahuru-l-aini. 20

وَٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَٱتَّبَعَتۡهُمۡ ذُرِّيَّتُهُم بِإِيمَٰنٍ أَلۡحَقۡنَا بِهِمۡ ذُرِّيَّتَهُمۡ وَمَآ أَلَتۡنَٰهُم مِّنۡ عَمَلِهِم مِّن شَيۡءٖۚ كُلُّ ٱمۡرِيِٕۭ بِمَا كَسَبَ رَهِينٞ ٢١

Walladhīna āmanū wattaba'athum dhurriyyatuhum bi īmānin alhaqnā bihim dhurriyyatahum wamā alatnāhum min 'amalihim min shay'in kullumriy'i bimā kasaba rahīn

Na walio amini na dhuriya zao wakawafuata kwa Imani tutawakutanisha nao dhuriya zao, na wala hatutawapunja hata kidogo katika vitendo vyao. Kila mtu lazima atapata alicho kichuma. 21

وَأَمۡدَدۡنَٰهُم بِفَٰكِهَةٖ وَلَحۡمٖ مِّمَّا يَشۡتَهُونَ ٢٢

Wa amdadnāhum bifākihatin walahmim mimmā yashtahūn

Na tutawapa matunda, na nyama kama watavyo penda. 22

يَتَنَٰزَعُونَ فِيهَا كَأۡسٗا لَّا لَغۡوٞ فِيهَا وَلَا تَأۡثِيمٞ ٢٣

Yatanāza'ūna fīhā ka sal lā laghwun fīhā walā ta'thīm

Watapeana humo bilauri zisio na vinywaji vya kuleta maneno ya upuuzi wala dhambi. 23

۞ وَيَطُوفُ عَلَيۡهِمۡ غِلۡمَانٞ لَّهُمۡ كَأَنَّهُمۡ لُؤۡلُؤٞ مَّكۡنُونٞ ٢٤

Wayatūfu 'alayhim ghilmānul lahum ka annahum lu'lu'um maknūn

Iwe wanawapitia watumishi wao kama kwamba ni lulu zilizomo katika chaza. 24

وَأَقۡبَلَ بَعۡضُهُمۡ عَلَىٰ بَعۡضٖ يَتَسَآءَلُونَ ٢٥

Wa aqbala ba'duhum 'alā ba'din yatasā'alūn

Wataelekeana wakiulizana. 25

قَالُوٓاْ إِنَّا كُنَّا قَبۡلُ فِيٓ أَهۡلِنَا مُشۡفِقِينَ ٢٦

Qālū innā kunnā qablu fī ahlinā mushfiqīn

Waseme: Tulikuwa zamani pamoja na ahali zetu tukiogopa; 26

فَمَنَّ ٱللَّهُ عَلَيۡنَا وَوَقَىٰنَا عَذَابَ ٱلسَّمُومِ ٢٧

Famannallāhu 'alaynā wawaqānā 'adhābas-samūm

Basi Mwenyezi Mungu akatufanyia hisani na akatulinda na adhabu ya upepo wa Moto. 27

إِنَّا كُنَّا مِن قَبۡلُ نَدۡعُوهُۖ إِنَّهُۥ هُوَ ٱلۡبَرُّ ٱلرَّحِيمُ ٢٨

Innā kunnā min qablu nad'ūhu innahū huwal-barrur-rahīm

Hakika sisi zamani tulikuwa tukimwomba Yeye tu. Hakika Yeye ndiye Mwema Mwenye kurehemu. 28

فَذَكِّرۡ فَمَآ أَنتَ بِنِعۡمَتِ رَبِّكَ بِكَاهِنٖ وَلَا مَجۡنُونٍ ٢٩

Fadhakkir famā anta bini'mati rabbika bikāhinin walā majnūn

Basi kumbusha! Kwani wewe, kwa neema ya Mola wako Mlezi, si kuhani wala mwendawazimu. 29

أَمۡ يَقُولُونَ شَاعِرٞ نَّتَرَبَّصُ بِهِۦ رَيۡبَ ٱلۡمَنُونِ ٣٠

Am yaqūlūna shā'irun natarabbasu bihī raybal-manūn

Au wanasema: Huyu ni mtunga mashairi, tunamtarajia kupatilizwa na dahari. 30

قُلۡ تَرَبَّصُواْ فَإِنِّي مَعَكُم مِّنَ ٱلۡمُتَرَبِّصِينَ ٣١

Qul tarabbasū fa innī ma'akum minal-mutarabbisīn

Sema: Tarajieni, na mimi pia ni pamoja nanyi katika kutarajia. 31

أَمۡ تَأۡمُرُهُمۡ أَحۡلَٰمُهُم بِهَٰذَآۚ أَمۡ هُمۡ قَوۡمٞ طَاغُونَ ٣٢

Am ta'muruhum ahlāmuhum bihādhā am hum qawmun tāghūn

Au hizo akili zao ndio zinawaamrisha haya, au wao basi ni watu majeuri tu? 32

أَمۡ يَقُولُونَ تَقَوَّلَهُۥۚ بَل لَّا يُؤۡمِنُونَ ٣٣

Am yaqūlūna taqawwalahū bal lā yu'minūn

Au ndio wanasema: Ameitunga hii! Bali basi tu hawaamini! 33

فَلۡيَأۡتُواْ بِحَدِيثٖ مِّثۡلِهِۦٓ إِن كَانُواْ صَٰدِقِينَ ٣٤

Falya'tū bihadīthim mithlihī in kānū sādiqīn

Basi nawalete masimulizi kama haya ikiwa wao wanasema kweli. 34

أَمۡ خُلِقُواْ مِنۡ غَيۡرِ شَيۡءٍ أَمۡ هُمُ ٱلۡخَٰلِقُونَ ٣٥

Am khuliqū min ghayri shay'in am humul-khāliqūn

Au wao wameumbwa pasipo kutokana na kitu chochote, au ni wao ndio waumbaji? 35

أَمۡ خَلَقُواْ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضَۚ بَل لَّا يُوقِنُونَ ٣٦

Am khalaqus-samāwāti wal-arda bal lā yūqinūn

Au wao wameziumba mbingu na ardhi? Bali hawana na yakini. 36

أَمۡ عِندَهُمۡ خَزَآئِنُ رَبِّكَ أَمۡ هُمُ ٱلۡمُصَۜيۡطِرُونَ ٣٧

Am 'indahum khazā'inu rabbika am humul-musaytirūn

Au wanazo khazina za Mola wako Mlezi au wao ndio wenye madaraka? 37

أَمۡ لَهُمۡ سُلَّمٞ يَسۡتَمِعُونَ فِيهِۖ فَلۡيَأۡتِ مُسۡتَمِعُهُم بِسُلۡطَٰنٖ مُّبِينٍ ٣٨

Am lahum sullamun yastami'ūna fīhi falya'ti mustami'uhum bisultānim mubīn

Au wanazo ngazi za kusikilizia? Basi huyo msikilizaji wao na alete hoja ilio wazi! 38

أَمۡ لَهُ ٱلۡبَنَٰتُ وَلَكُمُ ٱلۡبَنُونَ ٣٩

Am lahul-banātu walakumul-banūn

Au Yeye Mwenyezi Mungu ana wasichana, na nyinyi ndio mna wavulana? 39

أَمۡ تَسۡـَٔلُهُمۡ أَجۡرٗا فَهُم مِّن مَّغۡرَمٖ مُّثۡقَلُونَ ٤٠

Am tas'aluhum ajran fahum mim maghramim muthqalūn

Au wewe unawaomba ujira, na kwa hivyo ndio wanaelemewa na uzito wa gharama? 40

أَمۡ عِندَهُمُ ٱلۡغَيۡبُ فَهُمۡ يَكۡتُبُونَ ٤١

Am 'indahumul-ghaybu fahum yaktubūn

Au wanayo ilimu ya ghaibu, nao wameandika? 41

أَمۡ يُرِيدُونَ كَيۡدٗاۖ فَٱلَّذِينَ كَفَرُواْ هُمُ ٱلۡمَكِيدُونَ ٤٢

Am yurīdūna kaydan falladhīna kafarū humul-makīdūn

Au wanataka kufanya vitimbi tu? Lakini hao walio kufuru ndio watakao tegeka. 42

أَمۡ لَهُمۡ إِلَٰهٌ غَيۡرُ ٱللَّهِۚ سُبۡحَٰنَ ٱللَّهِ عَمَّا يُشۡرِكُونَ ٤٣

Am lahum ilāhun ghayrullāhi subhānallāhi 'ammā yushrikūn

Au wanae mungu asiye kuwa Mwenyezi Mungu? Subhanallah! Ametaksika Mwenyezi Mungu na hao wanao washirikisha naye. 43

وَإِن يَرَوۡاْ كِسۡفٗا مِّنَ ٱلسَّمَآءِ سَاقِطٗا يَقُولُواْ سَحَابٞ مَّرۡكُومٞ ٤٤

Wa in yaraw kisfam minas-samā'i sāqitan yaqūlū sahābum markūm

Na hata wange ona pande linatoka mbinguni linaanguka wange sema: Ni mawingu yaliyo bebana. 44

فَذَرۡهُمۡ حَتَّىٰ يُلَٰقُواْ يَوۡمَهُمُ ٱلَّذِي فِيهِ يُصۡعَقُونَ ٤٥

Fadharhum hattā yulāqū yawmahumul-ladhī fīhi yus'aqūn

Basi waache mpaka wakutane na siku yao watakapo hilikishwa. 45

يَوۡمَ لَا يُغۡنِي عَنۡهُمۡ كَيۡدُهُمۡ شَيۡـٔٗا وَلَا هُمۡ يُنصَرُونَ ٤٦

Yawma lā yughnī 'anhum kayduhum shay'an walā hum yunsarūn

Siku ambayo hila zao hazitawafaa hata kidogo, wala wao hawatanusuriwa. 46

وَإِنَّ لِلَّذِينَ ظَلَمُواْ عَذَابٗا دُونَ ذَٰلِكَ وَلَٰكِنَّ أَكۡثَرَهُمۡ لَا يَعۡلَمُونَ ٤٧

Wa inna lilladhīna zalamū 'adhāban dūna dhālika walākinna aktharahum lā ya'lamūn

Na hakika walio dhulumu watapata adhabu nyengine isiyo kuwa hii, lakini wengi wao hawajui. 47

وَٱصۡبِرۡ لِحُكۡمِ رَبِّكَ فَإِنَّكَ بِأَعۡيُنِنَاۖ وَسَبِّحۡ بِحَمۡدِ رَبِّكَ حِينَ تَقُومُ ٤٨

Wasbir lihukmi rabbika fa innaka bi a'yuninā wasabbih bihamdi rabbika hīna taqūm

Na ingojee hukumu ya Mola wako Mlezi. Kwani wewe hakika uko mbele ya macho yetu, na mtakase kwa kumsifu Mola wako Mlezi unapo simama, 48

وَمِنَ ٱلَّيۡلِ فَسَبِّحۡهُ وَإِدۡبَٰرَ ٱلنُّجُومِ ٤٩

Waminal-layli fasabbihhu wa idbāran-nujūm

Na usiku pia mtakase, na zinapo kuchwa nyota. 49

Nambari za maelezo ya chini zinaelekeza kwenye ukurasa wa aya, ambapo maelezo ya mfasiri yanaonyeshwa.

Matamshi kwa Kilatini ni msaada wa kusoma ulioandikwa na Qabas kutoka kwa Kiarabu. Jifunze herufi za Kiarabu na tajwidi kwa matamshi sahihi.

Maswali

Surat At-Tur ina aya ngapi?

Surat At-Tur ina aya 49. Ni sura namba 52 ya Qur'ani.

Je, Surat At-Tur ni Makkiya au Madaniya?

Surat At-Tur ni sura Makkiya.

Surat At-Tur iko katika juzuu gani?

Surat At-Tur iko katika juzuu 27.

Je, naweza kusikiliza Surat At-Tur?

Ndiyo. Bonyeza Cheza juu ya ukurasa huu, au anza kutoka aya yoyote. Programu ya Qabas pia inakuwezesha kuipakua ili kuisikiliza bila intaneti.