Surat At-Tur, aya 11

52:11

فَوَيۡلٞ يَوۡمَئِذٖ لِّلۡمُكَذِّبِينَ ١١

Fawaylun yawma'idhil lil-mukaddhibīn

Basi ole wao siku hiyo hao wanao kadhibisha, 11

Maelezo ya chini

11 Maangamio makubwa yatawapata siku hiyo hao wanao kadhibisha Haki.