Surat At-Tur, aya 49

52:49

وَمِنَ ٱلَّيۡلِ فَسَبِّحۡهُ وَإِدۡبَٰرَ ٱلنُّجُومِ ٤٩

Waminal-layli fasabbihhu wa idbāran-nujūm

Na usiku pia mtakase, na zinapo kuchwa nyota. 49

Maelezo ya chini

49 Na tafuta usiku usiku nafasi ya kumsabihi, yaani kumtakasa, Mwenyezi Mungu, na mtakase pia wakati zinapo kuchwa nyota, yaani alfajiri.