إِنَّ ٱلۡمُتَّقِينَ فِي جَنَّٰتٖ وَنَعِيمٖ ١٧
Innal-muttaqīna fī jannātin wana'īm
Hakika wachamngu watakuwa katika Mabustani na neema, 17
Maelezo ya chini
17 Hakika wachamngu watakuwa katika Mabustani yenye wasaa, hapana awezae kuyaeleza yalivyo, na neema kubwa kadhaalika.