Surat At-Tur, aya 22

52:22

وَأَمۡدَدۡنَٰهُم بِفَٰكِهَةٖ وَلَحۡمٖ مِّمَّا يَشۡتَهُونَ ٢٢

Wa amdadnāhum bifākihatin walahmim mimmā yashtahūn

Na tutawapa matunda, na nyama kama watavyo penda. 22

Maelezo ya chini

22 Na tutawazidishia matunda mengi, na nyama kama waipendayo.