أَمۡ تَأۡمُرُهُمۡ أَحۡلَٰمُهُم بِهَٰذَآۚ أَمۡ هُمۡ قَوۡمٞ طَاغُونَ ٣٢
Am ta'muruhum ahlāmuhum bihādhā am hum qawmun tāghūn
Au hizo akili zao ndio zinawaamrisha haya, au wao basi ni watu majeuri tu? 32
Maelezo ya chini
32 Bali ndio akili zao zinawaamrisha waseme maneno hayo yanayo gongana. Kwani kohani na mtunga mashairi ni watu wenye fahamu na akili; na mwendawazimu hana akili. Lakini hawa ni watu walio pita mipaka katika inadi zao.