وَٱلطُّورِ ١
Wat-tūr
Naapa kwa mlima wa T'ur! 1
Maelezo ya chini
1 Ninaapa kwa mlima wa T'ur ulioko katika Sinai. Kwenye mlima huo ndio Nabii Musa a.s. alisemezwa.