قُلۡ تَرَبَّصُواْ فَإِنِّي مَعَكُم مِّنَ ٱلۡمُتَرَبِّصِينَ ٣١
Qul tarabbasū fa innī ma'akum minal-mutarabbisīn
Sema: Tarajieni, na mimi pia ni pamoja nanyi katika kutarajia. 31
Maelezo ya chini
31 Waambie kwa kuwatisha: Ngojeeni, na mimi nami ni katika wanao ngojea mwisho wa hali yangu na hali yenu!