Surat At-Tur, aya 36

52:36

أَمۡ خَلَقُواْ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضَۚ بَل لَّا يُوقِنُونَ ٣٦

Am khalaqus-samāwāti wal-arda bal lā yūqinūn

Au wao wameziumba mbingu na ardhi? Bali hawana na yakini. 36

Maelezo ya chini

36 Kwani wao ndio walio ziumba mbingu na ardhi kwa uumbaji mzuri wa pekee wa namna hii? Bali wao hawana na yakini na lolote lilio mwajibikia Muumbaji. Na kwa hivyo ndio wanamshirikisha.