Surat At-Tur, aya 24

52:24

۞ وَيَطُوفُ عَلَيۡهِمۡ غِلۡمَانٞ لَّهُمۡ كَأَنَّهُمۡ لُؤۡلُؤٞ مَّكۡنُونٞ ٢٤

Wayatūfu 'alayhim ghilmānul lahum ka annahum lu'lu'um maknūn

Iwe wanawapitia watumishi wao kama kwamba ni lulu zilizomo katika chaza. 24

Maelezo ya chini

24 Na watakuwa wakiwapitia vijana walio wekwa kwa kuwatumikia, kwa weupe wao na usafi wao kama lulu iliomo ndani ya chaza.