Surat At-Tur, aya 35

52:35

أَمۡ خُلِقُواْ مِنۡ غَيۡرِ شَيۡءٍ أَمۡ هُمُ ٱلۡخَٰلِقُونَ ٣٥

Am khuliqū min ghayri shay'in am humul-khāliqūn

Au wao wameumbwa pasipo kutokana na kitu chochote, au ni wao ndio waumbaji? 35

Maelezo ya chini

35 Kwani wao wameumbwa bila ya kuweko Muumbaji, au wao wamejiumba wenyewe, basi kwa hivyo ati ndio hawamtambui Muumbaji wa kumuabudu?