أَمۡ يُرِيدُونَ كَيۡدٗاۖ فَٱلَّذِينَ كَفَرُواْ هُمُ ٱلۡمَكِيدُونَ ٤٢
Am yurīdūna kaydan falladhīna kafarū humul-makīdūn
Au wanataka kufanya vitimbi tu? Lakini hao walio kufuru ndio watakao tegeka. 42
Maelezo ya chini
42 Au wanataka kukufanyia vitimbi tu na kuuharibu Ujumbe wako? Basi hao walio kufuru ndio wanao stahiki kutumbukia katika vitimbi vyao.