Surat At-Tur, aya 46

52:46

يَوۡمَ لَا يُغۡنِي عَنۡهُمۡ كَيۡدُهُمۡ شَيۡـٔٗا وَلَا هُمۡ يُنصَرُونَ ٤٦

Yawma lā yughnī 'anhum kayduhum shay'an walā hum yunsarūn

Siku ambayo hila zao hazitawafaa hata kidogo, wala wao hawatanusuriwa. 46

Maelezo ya chini

46 Siku ambayo hila zao hazitawakinga hata na chembe ya adhabu, wala hawatapata wa kuwanusuru.