أَمۡ يَقُولُونَ شَاعِرٞ نَّتَرَبَّصُ بِهِۦ رَيۡبَ ٱلۡمَنُونِ ٣٠
Am yaqūlūna shā'irun natarabbasu bihī raybal-manūn
Au wanasema: Huyu ni mtunga mashairi, tunamtarajia kupatilizwa na dahari. 30
Maelezo ya chini
30 Bali ati wanasema huyu ni mtunga mashairi, tunaye mngojea afikiwe na mauti!