إِنَّ عَذَابَ رَبِّكَ لَوَٰقِعٞ ٧
Inna 'adhāba rabbika lawāqi'
Hakika adhabu ya Mola wako Mlezi hapana shaka itatokea. 7
Maelezo ya chini
7 Hakika adhabu ya Mola wako Mlezi waliyo ahidiwa makafiri bila ya shaka itawateremkia hapana hivi wala hivi.