Surat At-Tur, aya 41

52:41

أَمۡ عِندَهُمُ ٱلۡغَيۡبُ فَهُمۡ يَكۡتُبُونَ ٤١

Am 'indahumul-ghaybu fahum yaktubūn

Au wanayo ilimu ya ghaibu, nao wameandika? 41

Maelezo ya chini

41 Bali kwani wao wanao ujuzi kujua mambo ya ghaibu, yaliyo fichikana, na hivyo wanaandika kutoka hayo wayatakayo?