Surat At-Tur, aya 26

52:26

قَالُوٓاْ إِنَّا كُنَّا قَبۡلُ فِيٓ أَهۡلِنَا مُشۡفِقِينَ ٢٦

Qālū innā kunnā qablu fī ahlinā mushfiqīn

Waseme: Tulikuwa zamani pamoja na ahali zetu tukiogopa; 26

Maelezo ya chini

26 Kabla ya neema hizi sisi tulikuwa pamoja na ahali zetu tukiiogopa adhabu ya Mwenyezi Mungu.