وَأَقۡبَلَ بَعۡضُهُمۡ عَلَىٰ بَعۡضٖ يَتَسَآءَلُونَ ٢٥
Wa aqbala ba'duhum 'alā ba'din yatasā'alūn
Wataelekeana wakiulizana. 25
Maelezo ya chini
25 Na watu wa Peponi watakabiliana wakiulizana wao kwa wao khabari za hayo mambo makuu wanayo yapata na sababu zake.