Surat At-Tur, aya 33

52:33

أَمۡ يَقُولُونَ تَقَوَّلَهُۥۚ بَل لَّا يُؤۡمِنُونَ ٣٣

Am yaqūlūna taqawwalahū bal lā yu'minūn

Au ndio wanasema: Ameitunga hii! Bali basi tu hawaamini! 33

Maelezo ya chini

33 Bali ati wanasema: Muhammad ameizua hii Qur'ani! Bali hawa kwa ukaidi wao hawaamini tu.