Surat At-Tur, aya 45

52:45

فَذَرۡهُمۡ حَتَّىٰ يُلَٰقُواْ يَوۡمَهُمُ ٱلَّذِي فِيهِ يُصۡعَقُونَ ٤٥

Fadharhum hattā yulāqū yawmahumul-ladhī fīhi yus'aqūn

Basi waache mpaka wakutane na siku yao watakapo hilikishwa. 45

Maelezo ya chini

45 Waache bila ya kuwajali mpaka watakapo ikuta siku yao watapo angamizwa.