فَمَنَّ ٱللَّهُ عَلَيۡنَا وَوَقَىٰنَا عَذَابَ ٱلسَّمُومِ ٢٧
Famannallāhu 'alaynā wawaqānā 'adhābas-samūm
Basi Mwenyezi Mungu akatufanyia hisani na akatulinda na adhabu ya upepo wa Moto. 27
Maelezo ya chini
27 Mwenyezi Mungu akatufadhili kwa rehema yake, na akatukinga na adhabu ya Moto.