أَمۡ تَسۡـَٔلُهُمۡ أَجۡرٗا فَهُم مِّن مَّغۡرَمٖ مُّثۡقَلُونَ ٤٠
Am tas'aluhum ajran fahum mim maghramim muthqalūn
Au wewe unawaomba ujira, na kwa hivyo ndio wanaelemewa na uzito wa gharama? 40
Maelezo ya chini
40 Kwani wewe unawaomba chochote kuwa ni ujira wa kuwafikishia Ujumbe wako, ndio wamethakilika na hizo gharama wakalalimika?