Surat At-Tur, aya 39

52:39

أَمۡ لَهُ ٱلۡبَنَٰتُ وَلَكُمُ ٱلۡبَنُونَ ٣٩

Am lahul-banātu walakumul-banūn

Au Yeye Mwenyezi Mungu ana wasichana, na nyinyi ndio mna wavulana? 39

Maelezo ya chini

39 Ati Mwenyezi Mungu ndiye mwenye mabinti, kama mnavyo zua, na nyinyi ndio mna watoto wa kiume kama ndio mnavyo penda?