فَلۡيَأۡتُواْ بِحَدِيثٖ مِّثۡلِهِۦٓ إِن كَانُواْ صَٰدِقِينَ ٣٤
Falya'tū bihadīthim mithlihī in kānū sādiqīn
Basi nawalete masimulizi kama haya ikiwa wao wanasema kweli. 34
Maelezo ya chini
34 Basi nawalete masimulizi kama haya ya Qur'ani, ikiwa wao ni wasema kweli kuwa Muhammad kaizua.