يَتَنَٰزَعُونَ فِيهَا كَأۡسٗا لَّا لَغۡوٞ فِيهَا وَلَا تَأۡثِيمٞ ٢٣
Yatanāza'ūna fīhā ka sal lā laghwun fīhā walā ta'thīm
Watapeana humo bilauri zisio na vinywaji vya kuleta maneno ya upuuzi wala dhambi. 23
Maelezo ya chini
23 Huko Peponi watakuwa wakipeana kwa mapenzi bilauri zilio jaa vinywaji visio leta maneno yasiyo na maana wala vitendo vya dhambi, yaani havilevi na kuondoa akili.