سَأَلَ سَآئِلُۢ بِعَذَابٖ وَاقِعٖ ١
Sa'ala sā'ilu bi'adhābin wāqi'
Muulizaji aliuliza juu ya adhabu itakayo tokea! 1
Tafsiri: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani
بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ
سَأَلَ سَآئِلُۢ بِعَذَابٖ وَاقِعٖ ١
Sa'ala sā'ilu bi'adhābin wāqi'
Muulizaji aliuliza juu ya adhabu itakayo tokea! 1
لِّلۡكَٰفِرِينَ لَيۡسَ لَهُۥ دَافِعٞ ٢
Llil-kāfirīna laysa lahū dāfi'
Kwa makafiri - ambayo hapana awezaye kuizuia . 2
مِّنَ ٱللَّهِ ذِي ٱلۡمَعَارِجِ ٣
Mminallāhi dhil-ma'ārij
Kutoka kwa Mwenyezi Mungu Mwenye mbingu za daraja. 3
تَعۡرُجُ ٱلۡمَلَٰٓئِكَةُ وَٱلرُّوحُ إِلَيۡهِ فِي يَوۡمٖ كَانَ مِقۡدَارُهُۥ خَمۡسِينَ أَلۡفَ سَنَةٖ ٤
Ta'rujul-malā'ikatu war-rūhu ilayhi fī yawmin kāna miqdāruhū khamsīna alfa sanah
Malaika na Roho hupanda kwendea kwake katika siku ambayo kadiri yake ni miaka khamsini elfu! 4
فَٱصۡبِرۡ صَبۡرٗا جَمِيلًا ٥
Fasbir sabran jamīlā
Basi subiri kwa subira njema.Hakika wao wanaiona iko mbali! 5
إِنَّهُمۡ يَرَوۡنَهُۥ بَعِيدٗا ٦
Innahum yarawnahū ba'īdā
Hakika wao wanaiona iko mbali! 6
وَنَرَىٰهُ قَرِيبٗا ٧
Wanarāhu qarībā
Na Sisi tunaiona iko karibu. 7
يَوۡمَ تَكُونُ ٱلسَّمَآءُ كَٱلۡمُهۡلِ ٨
Yawma takūnus-samā'u kal-muhl
Siku ambayo mbingu zitakapo kuwa kama maadeni iliyo yayushwa. 8
وَتَكُونُ ٱلۡجِبَالُ كَٱلۡعِهۡنِ ٩
Watakūnul-jibālu kal-'ihn
Na milima itakuwa kama sufi. 9
وَلَا يَسۡـَٔلُ حَمِيمٌ حَمِيمٗا ١٠
Walā yas'alu hamīmun hamīmā
Wala jamaa hatamuuliza jamaa yake. 10
يُبَصَّرُونَهُمۡۚ يَوَدُّ ٱلۡمُجۡرِمُ لَوۡ يَفۡتَدِي مِنۡ عَذَابِ يَوۡمِئِذِۭ بِبَنِيهِ ١١
Yubassarūnahum yawaddul-mujrimu law yaftadī min 'adhābi yawmi'idhi bibanīh
Ijapo kuwa wataonyeshwa waonane. Atatamani mkosefu lau ajikomboe na adhabu ya siku hiyo kwa kuwatoa fidia wanawe, 11
وَصَٰحِبَتِهِۦ وَأَخِيهِ ١٢
Wasāhibatihī wa akhīh
Na mkewe, na nduguye, 12
وَفَصِيلَتِهِ ٱلَّتِي تُـٔۡوِيهِ ١٣
Wafasīlatihil-latī tu'wīh
Na jamaa zake walio kuwa wakimkimu, 13
وَمَن فِي ٱلۡأَرۡضِ جَمِيعٗا ثُمَّ يُنجِيهِ ١٤
Waman fil-ardi jamī'an thumma yunjīh
Na wote waliomo duniani, kisha aokoke yeye. 14
كَلَّآۖ إِنَّهَا لَظَىٰ ١٥
Kallā innahā lazā
La, hasha! Kwa hakika huo ni Moto mkali kabisa, 15
نَزَّاعَةٗ لِّلشَّوَىٰ ١٦
Nazzā'atal lish-shawā
Unao babua ngozi ya kichwa! 16
تَدۡعُواْ مَنۡ أَدۡبَرَ وَتَوَلَّىٰ ١٧
Tad'ū man adbara watawallā
Utamwita kila aliye geuza mgongo na akageuka. 17
وَجَمَعَ فَأَوۡعَىٰٓ ١٨
Wajama'a fa aw'ā
Na akakusanya mali, kisha akayahifadhi. 18
۞ إِنَّ ٱلۡإِنسَٰنَ خُلِقَ هَلُوعًا ١٩
Innal-insāna khuliqa halū'ā
Hakika mtu ameumbwa na papara. 19
إِذَا مَسَّهُ ٱلشَّرُّ جَزُوعٗا ٢٠
Idhā massahush-sharru jazū'ā
Inapo mgusa shari hupapatika. 20
وَإِذَا مَسَّهُ ٱلۡخَيۡرُ مَنُوعًا ٢١
Wa idhā massahul-khayru manū'ā
Na inapo mgusa kheri huizuilia. 21
إِلَّا ٱلۡمُصَلِّينَ ٢٢
Illal-musallīn
Isipo kuwa wanao swali, 22
ٱلَّذِينَ هُمۡ عَلَىٰ صَلَاتِهِمۡ دَآئِمُونَ ٢٣
Alladhīna hum 'alā salātihim dā'imūn
Ambao wanadumisha Sala zao, 23
وَٱلَّذِينَ فِيٓ أَمۡوَٰلِهِمۡ حَقّٞ مَّعۡلُومٞ ٢٤
Walladhīna fī amwālihim haqqum ma'lūm
Na ambao katika mali yao iko haki maalumu 24
لِّلسَّآئِلِ وَٱلۡمَحۡرُومِ ٢٥
Llis-sā'ili wal-mahrūm
Kwa mwenye kuomba na anaye jizuilia kuomba; 25
وَٱلَّذِينَ يُصَدِّقُونَ بِيَوۡمِ ٱلدِّينِ ٢٦
Walladhīna yusaddiqūna biyawmid-dīn
Na ambao wanaisadiki Siku ya Malipo, 26
وَٱلَّذِينَ هُم مِّنۡ عَذَابِ رَبِّهِم مُّشۡفِقُونَ ٢٧
Walladhīna hum min 'adhābi rabbihim mushfiqūn
Na ambao wanaiogopa adhabu itokayo kwa Mola wao Mlezi. 27
إِنَّ عَذَابَ رَبِّهِمۡ غَيۡرُ مَأۡمُونٖ ٢٨
Inna 'adhāba rabbihim ghayru ma'mūn
Hakika adhabu ya Mola wao Mlezi si ya kuaminika nayo. 28
وَٱلَّذِينَ هُمۡ لِفُرُوجِهِمۡ حَٰفِظُونَ ٢٩
Walladhīna hum lifurūjihim hāfizūn
Na ambao wanahifadhi tupu zao. 29
إِلَّا عَلَىٰٓ أَزۡوَٰجِهِمۡ أَوۡ مَا مَلَكَتۡ أَيۡمَٰنُهُمۡ فَإِنَّهُمۡ غَيۡرُ مَلُومِينَ ٣٠
Illā 'alā azwājihim aw mā malakat aymānuhum fa innahum ghayru malūmīn
Isipo kuwa kwa wake zao, au iliyo wamiliki mikono yao ya kuume, basi hao hawalaumiwi 30
فَمَنِ ٱبۡتَغَىٰ وَرَآءَ ذَٰلِكَ فَأُوْلَٰٓئِكَ هُمُ ٱلۡعَادُونَ ٣١
Famanibtaghā warā'a dhālika fa ulā'ika humul-'ādūn
Lakini wanao taka kinyume ya haya, basi hao ndio wanao ruka mipaka. 31
وَٱلَّذِينَ هُمۡ لِأَمَٰنَٰتِهِمۡ وَعَهۡدِهِمۡ رَٰعُونَ ٣٢
Walladhīna hum li amānātihim wa'ahdihim rā'ūn
Na ambao wanazichunga amana zao na ahadi zao, 32
وَٱلَّذِينَ هُم بِشَهَٰدَٰتِهِمۡ قَآئِمُونَ ٣٣
Walladhīna hum bishahādātihim qā'imūn
Na ambao wanasimama imara katika ushahidi wao, 33
وَٱلَّذِينَ هُمۡ عَلَىٰ صَلَاتِهِمۡ يُحَافِظُونَ ٣٤
Walladhīna hum 'alā salātihim yuhāfizūn
Na ambao wanazihifadhi Sala zao. 34
أُوْلَٰٓئِكَ فِي جَنَّٰتٖ مُّكۡرَمُونَ ٣٥
Ulā'ika fī jannātim mukramūn
Hao ndio watakao hishimiwa Peponi. 35
فَمَالِ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ قِبَلَكَ مُهۡطِعِينَ ٣٦
Famālil-ladhīna kafarū qibalaka muhti'īn
Wana nini wale walio kufuru wanakutumbulia macho tu? 36
عَنِ ٱلۡيَمِينِ وَعَنِ ٱلشِّمَالِ عِزِينَ ٣٧
'Anil-yamīni wa'anish-shimāli 'izīn
Makundi kwa makundi upande wa kulia na upande wa kushoto! 37
أَيَطۡمَعُ كُلُّ ٱمۡرِيٕٖ مِّنۡهُمۡ أَن يُدۡخَلَ جَنَّةَ نَعِيمٖ ٣٨
Ayatma'u kullumriy'im minhum an yudkhala jannata na'īm
Kwani kila mmoja wao anatumai kuingizwa katika Pepo ya neema? 38
كَلَّآۖ إِنَّا خَلَقۡنَٰهُم مِّمَّا يَعۡلَمُونَ ٣٩
Kallā innā khalaqnāhum mimmā ya'lamūn
La, hasha! Hakika Sisi tumewaumba kutokana na wanacho kijua. 39
فَلَآ أُقۡسِمُ بِرَبِّ ٱلۡمَشَٰرِقِ وَٱلۡمَغَٰرِبِ إِنَّا لَقَٰدِرُونَ ٤٠
Falā uqsimu birabbil-mashāriqi wal-maghāribi innā laqādirūn
Basi naapa kwa Mola Mlezi wa mashariki zote na magharibi zote kwamba Sisi tunaweza 40
عَلَىٰٓ أَن نُّبَدِّلَ خَيۡرٗا مِّنۡهُمۡ وَمَا نَحۡنُ بِمَسۡبُوقِينَ ٤١
'Alā an nubaddila khayram minhum wamā nahnu bimasbūqīn
Kuwabadili kwa walio bora kuliko wao; na Sisi hatushindwi. 41
فَذَرۡهُمۡ يَخُوضُواْ وَيَلۡعَبُواْ حَتَّىٰ يُلَٰقُواْ يَوۡمَهُمُ ٱلَّذِي يُوعَدُونَ ٤٢
Fadharhum yakhūdū wayal'abū hattā yulāqū yawmahumul-ladhī yū'adūn
Basi waache wapige porojo na wacheze, mpaka wakutane na siku yao wanayo ahidiwa, 42
يَوۡمَ يَخۡرُجُونَ مِنَ ٱلۡأَجۡدَاثِ سِرَاعٗا كَأَنَّهُمۡ إِلَىٰ نُصُبٖ يُوفِضُونَ ٤٣
Yawma yakhrujūna minal-ajdāthi sirā'an ka annahum ilā nusubin yūfidūn
Siku watakapotoka makaburini kwa upesi kama kwamba wanakimbilia mfundo, 43
خَٰشِعَةً أَبۡصَٰرُهُمۡ تَرۡهَقُهُمۡ ذِلَّةٞۚ ذَٰلِكَ ٱلۡيَوۡمُ ٱلَّذِي كَانُواْ يُوعَدُونَ ٤٤
Khāshi'atan absāruhum tarhaquhum dhillatun dhālikal-yawmul-ladhī kānū yū'adūn
Macho yao yatainama, fedheha itawafunika. Hiyo ndiyo Siku waliyo kuwa wakiahidiwa. 44
Nambari za maelezo ya chini zinaelekeza kwenye ukurasa wa aya, ambapo maelezo ya mfasiri yanaonyeshwa.
Matamshi kwa Kilatini ni msaada wa kusoma ulioandikwa na Qabas kutoka kwa Kiarabu. Jifunze herufi za Kiarabu na tajwidi kwa matamshi sahihi.
Surat Al-Ma'arij ina aya 44. Ni sura namba 70 ya Qur'ani.
Surat Al-Ma'arij ni sura Makkiya.
Surat Al-Ma'arij iko katika juzuu 29.
Ndiyo. Bonyeza Cheza juu ya ukurasa huu, au anza kutoka aya yoyote. Programu ya Qabas pia inakuwezesha kuipakua ili kuisikiliza bila intaneti.