إِنَّ عَذَابَ رَبِّهِمۡ غَيۡرُ مَأۡمُونٖ ٢٨
Inna 'adhāba rabbihim ghayru ma'mūn
Hakika adhabu ya Mola wao Mlezi si ya kuaminika nayo. 28
Maelezo ya chini
28 Kwani hakika adhabu ya Mola wao Mlezi hapana hata mmoja anaye weza kuaminika nayo isimpate.