Surat Al-Ma'arij, aya 3

70:3

مِّنَ ٱللَّهِ ذِي ٱلۡمَعَارِجِ ٣

Mminallāhi dhil-ma'ārij

Kutoka kwa Mwenyezi Mungu Mwenye mbingu za daraja. 3

Maelezo ya chini

3 Kwani hiyo inatoka kwa Mwenyezi Mungu Mwenye mbingu, ambako huko ndiko zinatoka nguvu zinazo simama, na hukumu inayo tekelezwa.