أَيَطۡمَعُ كُلُّ ٱمۡرِيٕٖ مِّنۡهُمۡ أَن يُدۡخَلَ جَنَّةَ نَعِيمٖ ٣٨
Ayatma'u kullumriy'im minhum an yudkhala jannata na'īm
Kwani kila mmoja wao anatumai kuingizwa katika Pepo ya neema? 38
Maelezo ya chini
38 Je, kwani kila mmoja wao ana tamaa ya kuingia kwenye Pepo yenye neema, baada ya kusikia kuwa Mwenyezi Mungu amemuahidi Mtume wake na Waumini kuwatia Peponi?