Surat Al-Ma'arij, aya 26

70:26

وَٱلَّذِينَ يُصَدِّقُونَ بِيَوۡمِ ٱلدِّينِ ٢٦

Walladhīna yusaddiqūna biyawmid-dīn

Na ambao wanaisadiki Siku ya Malipo, 26

Maelezo ya chini

26 Na wale wanao isadiki Siku ya Malipo, basi wanajitayarisha kwa ajili yake;