وَلَا يَسۡـَٔلُ حَمِيمٌ حَمِيمٗا ١٠
Walā yas'alu hamīmun hamīmā
Wala jamaa hatamuuliza jamaa yake. 10
Maelezo ya chini
10 Wala jamaa hamuulizi jamaa yake: Nini hali yako? Kwa sababu kila mmoja kajishughulikia nafsi yake!