يَوۡمَ يَخۡرُجُونَ مِنَ ٱلۡأَجۡدَاثِ سِرَاعٗا كَأَنَّهُمۡ إِلَىٰ نُصُبٖ يُوفِضُونَ ٤٣
Yawma yakhrujūna minal-ajdāthi sirā'an ka annahum ilā nusubin yūfidūn
Siku watakapotoka makaburini kwa upesi kama kwamba wanakimbilia mfundo, 43
Maelezo ya chini
43 Siku watakapo tolewa makaburini mbio mbio kumwendea huyo ataye waita, kama kwamba wamemweka ufundo na wakimuabudu duniani walivyo kuwa wakimkimbilia badala ya Mwenyezi Mungu,