Surat Al-Ma'arij, aya 23

70:23

ٱلَّذِينَ هُمۡ عَلَىٰ صَلَاتِهِمۡ دَآئِمُونَ ٢٣

Alladhīna hum 'alā salātihim dā'imūn

Ambao wanadumisha Sala zao, 23

Maelezo ya chini

23 Ambao wanadumisha Swala zao, hawakikosi hata kipindi kimoja.