وَٱلَّذِينَ هُمۡ عَلَىٰ صَلَاتِهِمۡ يُحَافِظُونَ ٣٤
Walladhīna hum 'alā salātihim yuhāfizūn
Na ambao wanazihifadhi Sala zao. 34
Maelezo ya chini
34 Na wanao hifadhi Swala zao wakizisali sawasawa kwa ukamilifu -
وَٱلَّذِينَ هُمۡ عَلَىٰ صَلَاتِهِمۡ يُحَافِظُونَ ٣٤
Walladhīna hum 'alā salātihim yuhāfizūn
Na ambao wanazihifadhi Sala zao. 34
34 Na wanao hifadhi Swala zao wakizisali sawasawa kwa ukamilifu -