Surat Al-Ma'arij, aya 18

70:18

وَجَمَعَ فَأَوۡعَىٰٓ ١٨

Wajama'a fa aw'ā

Na akakusanya mali, kisha akayahifadhi. 18

Maelezo ya chini

18 Na akakusanya mali akayaweka katika mabweta yake, wala hakutoa haki ya Mwenyezi Mungu iliomo katika hayo mali!