Surat Al-Ma'arij, aya 19

70:19

۞ إِنَّ ٱلۡإِنسَٰنَ خُلِقَ هَلُوعًا ١٩

Innal-insāna khuliqa halū'ā

Hakika mtu ameumbwa na papara. 19

Maelezo ya chini

19 Hakika tabia ya binaadamu ni papara, mwingi wa kupapatika,