Surat Al-Ma'arij, aya 5

70:5

فَٱصۡبِرۡ صَبۡرٗا جَمِيلًا ٥

Fasbir sabran jamīlā

Basi subiri kwa subira njema.Hakika wao wanaiona iko mbali! 5

Maelezo ya chini

5 Basi, ewe Muhammad! Subiri uwastahamilie hizo kejeli zao, na kuhimiza kwao adhabu, kwa subira isiyo kuwa na mbabaiko ndani yake wala mashtaka.