وَٱلَّذِينَ هُم مِّنۡ عَذَابِ رَبِّهِم مُّشۡفِقُونَ ٢٧
Walladhīna hum min 'adhābi rabbihim mushfiqūn
Na ambao wanaiogopa adhabu itokayo kwa Mola wao Mlezi. 27
Maelezo ya chini
27 Na wale wanao iogopa adhabu ya Mola wao Mlezi basi wanajikinga nayo wala hawajitii katika jambo la kuwaletea adhabu hiyo.