Surat Al-Ma'arij, aya 15

70:15

كَلَّآۖ إِنَّهَا لَظَىٰ ١٥

Kallā innahā lazā

La, hasha! Kwa hakika huo ni Moto mkali kabisa, 15

Maelezo ya chini

15 Ewe mkosefu! Wacha hayo unayo yatamani ya kutaka kujikomboa kwa fidia! Hakika huo moto, unawaka kweli!