Surat Al-Ma'arij, aya 6

70:6

إِنَّهُمۡ يَرَوۡنَهُۥ بَعِيدٗا ٦

Innahum yarawnahū ba'īdā

Hakika wao wanaiona iko mbali! 6

Maelezo ya chini

6 Hakika hao makafiri wanaiona hiyo Siku ya Kiyama ni kitu cha muhali kutokea.