سَأَلَ سَآئِلُۢ بِعَذَابٖ وَاقِعٖ ١
Sa'ala sā'ilu bi'adhābin wāqi'
Muulizaji aliuliza juu ya adhabu itakayo tokea! 1
Maelezo ya chini
1 Ameita, mwenye kuita, kuhimiza kama kufanya kejeli, iletwe upesi adhabu kutoka kwa Mwenyezi Mungu ambayo hapana shaka itawashukia makafiri.