كَلَّآۖ إِنَّا خَلَقۡنَٰهُم مِّمَّا يَعۡلَمُونَ ٣٩
Kallā innā khalaqnāhum mimmā ya'lamūn
La, hasha! Hakika Sisi tumewaumba kutokana na wanacho kijua. 39
Maelezo ya chini
39 Basi nawaache hiyo tamaa yao ya kuingia Peponi. Hakika Sisi tumewaumba wao kutokana na maji ya kudharauliwa.