فَذَرۡهُمۡ يَخُوضُواْ وَيَلۡعَبُواْ حَتَّىٰ يُلَٰقُواْ يَوۡمَهُمُ ٱلَّذِي يُوعَدُونَ ٤٢
Fadharhum yakhūdū wayal'abū hattā yulāqū yawmahumul-ladhī yū'adūn
Basi waache wapige porojo na wacheze, mpaka wakutane na siku yao wanayo ahidiwa, 42
Maelezo ya chini
42 Basi waachilie wakiporojoka katika upotovu wao, na wakicheza na dunia yao, mpaka wakutane na siku yao waliyo ahidiwa kupewa adhabu.