وَٱلَّذِينَ هُم بِشَهَٰدَٰتِهِمۡ قَآئِمُونَ ٣٣
Walladhīna hum bishahādātihim qā'imūn
Na ambao wanasimama imara katika ushahidi wao, 33
Maelezo ya chini
33 Na ambao kwa shahada zao wamesimama sawa sawa kwa haki bila ya kuficha wanalo lijua,