تَدۡعُواْ مَنۡ أَدۡبَرَ وَتَوَلَّىٰ ١٧
Tad'ū man adbara watawallā
Utamwita kila aliye geuza mgongo na akageuka. 17
Maelezo ya chini
17 Utanadi kwa jina la huyo aliye iacha Haki, na akaacha ut'iifu,
تَدۡعُواْ مَنۡ أَدۡبَرَ وَتَوَلَّىٰ ١٧
Tad'ū man adbara watawallā
Utamwita kila aliye geuza mgongo na akageuka. 17
17 Utanadi kwa jina la huyo aliye iacha Haki, na akaacha ut'iifu,