Surat Ash-Sharh الشرح

Tafsiri: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani

بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ

أَلَمۡ نَشۡرَحۡ لَكَ صَدۡرَكَ ١

Alam nashrah laka sadrak

Hatukukunjulia kifua chako? 1

وَوَضَعۡنَا عَنكَ وِزۡرَكَ ٢

Wawada'nā 'anka wizrak

Na tukakuondolea mzigo wako! 2

ٱلَّذِيٓ أَنقَضَ ظَهۡرَكَ ٣

Alladhī anqada zahrak

Ulio vunja mgongo wako? 3

وَرَفَعۡنَا لَكَ ذِكۡرَكَ ٤

Warafa'nā laka dhikrak

Na tukakunyanyulia utajo wako? 4

فَإِنَّ مَعَ ٱلۡعُسۡرِ يُسۡرًا ٥

Fa inna ma'al-'usri yusrā

Basi kwa hakika pamoja na uzito upo wepesi! 5

إِنَّ مَعَ ٱلۡعُسۡرِ يُسۡرٗا ٦

Inna ma'al-'usri yusrā

Hakika pamoja na uzito upo wepesi. 6

فَإِذَا فَرَغۡتَ فَٱنصَبۡ ٧

Fa idhā faraghta fansab

Na ukipata faragha, fanya juhudi. 7

وَإِلَىٰ رَبِّكَ فَٱرۡغَب ٨

Wa ilā rabbika farghab

Na Mola wako Mlezi ndio mshughulikie. 8

Nambari za maelezo ya chini zinaelekeza kwenye ukurasa wa aya, ambapo maelezo ya mfasiri yanaonyeshwa.

Matamshi kwa Kilatini ni msaada wa kusoma ulioandikwa na Qabas kutoka kwa Kiarabu. Jifunze herufi za Kiarabu na tajwidi kwa matamshi sahihi.

Aya maarufu

Maswali

Surat Ash-Sharh ina aya ngapi?

Surat Ash-Sharh ina aya 8. Ni sura namba 94 ya Qur'ani.

Je, Surat Ash-Sharh ni Makkiya au Madaniya?

Surat Ash-Sharh ni sura Makkiya.

Surat Ash-Sharh iko katika juzuu gani?

Surat Ash-Sharh iko katika juzuu 30.

Je, naweza kusikiliza Surat Ash-Sharh?

Ndiyo. Bonyeza Cheza juu ya ukurasa huu, au anza kutoka aya yoyote. Programu ya Qabas pia inakuwezesha kuipakua ili kuisikiliza bila intaneti.