Inna ma'al-'usri yusra

Tafsiri: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani

فَإِنَّ مَعَ ٱلۡعُسۡرِ يُسۡرًا ٥

Fa inna ma'al-'usri yusrā

Basi kwa hakika pamoja na uzito upo wepesi! 5

Maelezo ya chini

5 Hizo ni baadhi ya neema zetu juu yako. Basi kuwa na yakini na uweza wa Mwenyezi Mtukufu, kwani pamoja na uzito upo wepesi mwingi unao kuja nao.

إِنَّ مَعَ ٱلۡعُسۡرِ يُسۡرٗا ٦

Inna ma'al-'usri yusrā

Hakika pamoja na uzito upo wepesi. 6

Maelezo ya chini

6 Hakika pamoja na uzito (wakati huo huo ijapo kuwa wewe hujui), upo wepesi mwingi vile vile.

Matamshi kwa Kilatini ni msaada wa kusoma ulioandikwa na Qabas kutoka kwa Kiarabu. Jifunze herufi za Kiarabu na tajwidi kwa matamshi sahihi.

Soma Surat Ash-Sharh yote

Maswali

Inna ma'al-'usri yusra iko wapi katika Qur'ani?

Inna ma'al-'usri yusra iko katika Surat Ash-Sharh, 94:5-6.