Surat At-Tin التين

Tafsiri: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani

بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ

وَٱلتِّينِ وَٱلزَّيۡتُونِ ١

Wat-tīni waz-zaytūn

Naapa kwa tini na zaituni! 1

وَطُورِ سِينِينَ ٢

Watūri sīnīn

Na kwa Mlima wa Sinai! 2

وَهَٰذَا ٱلۡبَلَدِ ٱلۡأَمِينِ ٣

Wahādhal-baladil-amīn

Na kwa mji huu wenye amani! 3

لَقَدۡ خَلَقۡنَا ٱلۡإِنسَٰنَ فِيٓ أَحۡسَنِ تَقۡوِيمٖ ٤

Laqad khalaqnal-insāna fī ahsani taqwīm

Bila ya shaka tumemuumba mtu kwa umbo lilio bora kabisa. 4

ثُمَّ رَدَدۡنَٰهُ أَسۡفَلَ سَٰفِلِينَ ٥

Thumma radadnāhu asfala sāfilīn

Kisha tukamrudisha kuwa chini kuliko walio chini! 5

إِلَّا ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَعَمِلُواْ ٱلصَّٰلِحَٰتِ فَلَهُمۡ أَجۡرٌ غَيۡرُ مَمۡنُونٖ ٦

Illal-ladhīna āmanū wa'amilus-sālihāti falahum ajrun ghayru mamnūn

Lakini wale walio amini na wakatenda mema, hao watapata ujira usio kwisha. 6

فَمَا يُكَذِّبُكَ بَعۡدُ بِٱلدِّينِ ٧

Famā yukaddhibuka ba'du bid-dīn

Basi ni kipi baadaye kitacho kukukadhibishia malipo? 7

أَلَيۡسَ ٱللَّهُ بِأَحۡكَمِ ٱلۡحَٰكِمِينَ ٨

Alaysallāhu bi ahkamil-hākimīn

Kwani Mwenyezi Mungu si muadilifu kuliko mahakimu wote? 8

Nambari za maelezo ya chini zinaelekeza kwenye ukurasa wa aya, ambapo maelezo ya mfasiri yanaonyeshwa.

Matamshi kwa Kilatini ni msaada wa kusoma ulioandikwa na Qabas kutoka kwa Kiarabu. Jifunze herufi za Kiarabu na tajwidi kwa matamshi sahihi.

Maswali

Surat At-Tin ina aya ngapi?

Surat At-Tin ina aya 8. Ni sura namba 95 ya Qur'ani.

Je, Surat At-Tin ni Makkiya au Madaniya?

Surat At-Tin ni sura Makkiya.

Surat At-Tin iko katika juzuu gani?

Surat At-Tin iko katika juzuu 30.

Je, naweza kusikiliza Surat At-Tin?

Ndiyo. Bonyeza Cheza juu ya ukurasa huu, au anza kutoka aya yoyote. Programu ya Qabas pia inakuwezesha kuipakua ili kuisikiliza bila intaneti.