وَوَضَعۡنَا عَنكَ وِزۡرَكَ ٢
Wawada'nā 'anka wizrak
Na tukakuondolea mzigo wako! 2
Maelezo ya chini
2 Na tumekupunguzia mizigo iliyo kuwa mizito juu ya mgongo wako, kwa kukuunga mkono na kukusahilishia mambo yako,
وَوَضَعۡنَا عَنكَ وِزۡرَكَ ٢
Wawada'nā 'anka wizrak
Na tukakuondolea mzigo wako! 2
2 Na tumekupunguzia mizigo iliyo kuwa mizito juu ya mgongo wako, kwa kukuunga mkono na kukusahilishia mambo yako,