Surat Ad-Duha الضحى

Tafsiri: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani

بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ

وَٱلضُّحَىٰ ١

Wad-duhā

Naapa kwa mchana! 1

وَٱلَّيۡلِ إِذَا سَجَىٰ ٢

Wallayli idhā sajā

Na kwa usiku unapo tanda! 2

مَا وَدَّعَكَ رَبُّكَ وَمَا قَلَىٰ ٣

Mā wadda'aka rabbuka wamā qalā

Mola wako Mlezi hakukuacha, wala hakukasirika nawe. 3

وَلَلۡأٓخِرَةُ خَيۡرٞ لَّكَ مِنَ ٱلۡأُولَىٰ ٤

Walal'ākhiratu khayrul laka minal-ūlā

Na bila ya shaka wakati ujao utakuwa bora kwako kuliko ulio tangulia. 4

وَلَسَوۡفَ يُعۡطِيكَ رَبُّكَ فَتَرۡضَىٰٓ ٥

Walasawfa yu'tīka rabbuka fatardā

Na Mola wako Mlezi atakupa mpaka uridhike. 5

أَلَمۡ يَجِدۡكَ يَتِيمٗا فَـَٔاوَىٰ ٦

Alam yajidka yatīman fa'āwā

Kwani hakukukuta yatima akakupa makaazi? 6

وَوَجَدَكَ ضَآلّٗا فَهَدَىٰ ٧

Wawajadaka dāllan fahadā

Na akakukuta umepotea akakuongoa? 7

وَوَجَدَكَ عَآئِلٗا فَأَغۡنَىٰ ٨

Wawajadaka 'ā'ilan fa aghnā

Akakukuta mhitaji akakutosheleza? 8

فَأَمَّا ٱلۡيَتِيمَ فَلَا تَقۡهَرۡ ٩

Fa ammal-yatīma falā taqhar

Basi yatima usimwonee! 9

وَأَمَّا ٱلسَّآئِلَ فَلَا تَنۡهَرۡ ١٠

Wa ammas-sā'ila falā tanhar

Na anaye omba au kuuliza usimkaripie! 10

وَأَمَّا بِنِعۡمَةِ رَبِّكَ فَحَدِّثۡ ١١

Wa ammā bini'mati rabbika fahaddith

Na neema za Mola wako Mlezi zisimlie. 11

Nambari za maelezo ya chini zinaelekeza kwenye ukurasa wa aya, ambapo maelezo ya mfasiri yanaonyeshwa.

Matamshi kwa Kilatini ni msaada wa kusoma ulioandikwa na Qabas kutoka kwa Kiarabu. Jifunze herufi za Kiarabu na tajwidi kwa matamshi sahihi.

Maswali

Surat Ad-Duha ina aya ngapi?

Surat Ad-Duha ina aya 11. Ni sura namba 93 ya Qur'ani.

Je, Surat Ad-Duha ni Makkiya au Madaniya?

Surat Ad-Duha ni sura Makkiya.

Surat Ad-Duha iko katika juzuu gani?

Surat Ad-Duha iko katika juzuu 30.

Je, naweza kusikiliza Surat Ad-Duha?

Ndiyo. Bonyeza Cheza juu ya ukurasa huu, au anza kutoka aya yoyote. Programu ya Qabas pia inakuwezesha kuipakua ili kuisikiliza bila intaneti.